Get Sifuna Skiza tune by sending SMS 'Skiza 5370249' to 811
News & Updates
Videos
Articles
Siasa za upinzani nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu
Bado kuna nafasi ya vigogo wengine kujiunga na chama chetu cha Azimio. ~ @EdwinSifuna#JamboKenya pic.twitter.com/R5lpNMZGao
— Radio Citizen (@RadioCitizenFM) February 2, 2022
ANC wamejiunga na UDA kwa sababu ya hasira sio maadili. ~ @Edwinsifuna #JamboKenya #RadioNumberOne pic.twitter.com/hNHlv9cTuv
— Radio Citizen (@RadioCitizenFM) February 2, 2022
Lazima tueleweshe vijana wajue umuhimu wa kupiga kura. ~ @edwinsifuna #JamboKenya #RadioNumberOne pic.twitter.com/mLVTR93fH5
— Radio Citizen (@RadioCitizenFM) February 2, 2022
Sifuna : Wito wangu kwa Wakenya ni mwaka huu tuzingatie uadilifu na uwezo wa kuiongozi #Jambokenya #RadioNumberOne pic.twitter.com/9MGBfci53w
— Radio Citizen (@RadioCitizenFM) February 2, 2022